Kweli shetani anamakusudi sana

Mwanamke malaya huolewa na mwanamme Mwaminifu vilevile Mwanamme Malaya humuoa mwanamke mwaminifu...Hii hutokana na kwamba Malaya huwa hakosei kuchagua kutokana na kuwa yeye mwenyewe baharia
 
Nipe no,ya huyo unae muita mke wako nimshauri kitu, inawezekana wewe hujitambui wala hujui wapi una kwenda upoupo tu kwa kifupi wewe ni________,

Wewe ndio hujitambui Mkuu, jamaa anahitaji ushauri ili aweze kuvuka majaribu anayopitia
 


Cha kwanza kaka labd nikuambie tayar nmeshaoa pili nmeomba ushaur na sio km ninawafata na kingn kuhusu kuwa kubalia ni ile usumbufu umezd na sio km wengn hawajui km nimeoa wengn wanajua na uwezo wa kuchange line kisa mtu siwez ndio maan nikaleta hapa nifanye vp ten
 
Mzinifu haolewi ila na mwanamume mzinifu au mshirikina. Na hayo ya. Mwanamume mzinifu hamwoi ila mwanamke mzinifu au mwanamke mshirikina. Na mwanamke meharimishwa kwa Wauminiโ€ (24: 3).

Hope unajua kusoma

Asante kwa maneno yako
 
Yote heri. Corona eti ipo tanzania au haipo tujue moja
 
Sasa kama umeoa si uwaambie hao mademu zako wazamani ukweli, waambie wewe ni mme watu waache usumbufu
 
Hongera kwa kuoa chief niliandika vile kwa sababu maelezo yako hayakuwa yamejitosheleza ,inshaallah mwenyezi mungu awaongozeni nyote .
tukirudi kwenye mada husika ,kwanza jua kwamba ulipofunga ndoa sio kwamba ndo umewapunguza hakuna kitu kinawavuta wanawake kama akiona unaoa direct au akiona pete ya ndoa kwenye kidole maana anajua kwamba unajua kutunza na upo matured .

Hivyo cha kwanza kabisa endelea kuomba mungu akuepushe nao na pia tumia busara tu kuwa na maamuzi na msimamo binafsi kama unaona kuwa block bado inakuwa ngumu .
 
Inabidi kuwe na kozi maalumu ya kuwafundisha new members uandishi
Tunapata tabu sana kusoma jamani

ova
Kozi ya nini tena jamani!??? Watu wa levo kubwa kama yako huwa hawalalamikii vitu vidogo kama hivi, badala yake wanawaajiri vijana watatu wanne wa digrii ama mastaz ili kuwasaidia kuhendo simu zao. Nikutumie namba za broka!??? Au ndiyo nako utakuwa bize ushindwe kufanya mchakato!??? ๐Ÿ™‚ ๐Ÿ™‚ ๐Ÿ™‚
 

Ok inshallah,na shukran kwa pongez na ushaur wako mzur[emoji1374]
 
Currency, BTC or stocks?
 
[emoji3][emoji3] we jamaa ni chenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ