Mzee pole sana, najua inakuuma, kuna wakati unaweza kuhisi uchungu wa kujifungua hata kama ni mwanaume!
Ila sijaelewa Rostam ni mzigo wa taifa au CCM ndio mzigo wa taifa??
Pia sijaelewa unataka JK aseme nini wakati fedha za uwizi zilizopitia kwa Rostam ndio zimemuweka pale??
Enyi wagalatia nani aliyewadanganya kuwa tatizo ni Rostam na si CCM? kiburi cha 'mnyamwezi' wenye rangi ile atika nchi ya wabantu inatokea wapi??
Please, tusseme weeee, then turudi nyuma, tungalie source, simuoni Rostam mimi, naona weusi wenzangu, huko BOT, naona mawaziri wa rangi kama yangu wakisema fedha zitoke, naona mafisadi wengi sana wana jifichanyuma ya pazia la Rostam! wako wengi ultmate solution ni CCM waondoke madarakani, aka ka Rostam ni sehemu tu ya ufisadi, go to any ministry, any sector you may prove this.
Rostam akiondoka leo, bado wale wala nchi-original watakuwepo, tusipowamulika hao, tukamwona Rostam tu, we are in big trouble!!!!!
tupo pamoja!