GE2025 Kweli Rais Samia anastahili tuzo ya Nobel kama anavyopambwa na chawa Eric Shigongo?

GE2025 Kweli Rais Samia anastahili tuzo ya Nobel kama anavyopambwa na chawa Eric Shigongo?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
638
Reaction score
1,771
Nasikiliza kampeni za Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan akiwa jijini Mwanza. Kuna mgombea wa Buchosa akiwa anatetea ugali wake nimemsikia akimpamba sana Mama Samia na kufikia kusema anastahili tuzo ya Nobel.

Vipi mnakubaliana naye?

Ndiyo. Mama Anastahili kabisa. Ni kwenye Uongozi au Amani kama akina Obama?

Oktoba Tunatiki ✔✔✔✔

IMG-20251007-WA0015.jpg
 
Nasikiliza kampeni za Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan akiwa jijini Mwanza. Kuna mgombea wa Buchosa akiwa anatetea ugali wake nimemsikia akimpamba sana Mama Samia na kufikia kusema anastahili tuzo ya Nobel.

Vipi mnakubaliana naye?

View attachment 3484971
Tumbo na umaarufu ni vitu vibaya sana..

Ila kwa sasa kila mteule na mgombea anahofu wananchi pia wanahofu lazima amsifie ili hajihakikishie yupo salama
 
Tuzo ya Nobel na mauaji, utekaji, dhuluma, uonevu, ufisadi, nk. Wapi na wapi!
 
Upuuzi kabisa, akipewa hiyo Tuzo nahamia Congo nawaacha na uzwazwa pamoja na uzumbukuku wenu bongo...
 
Nasikiliza kampeni za Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan akiwa jijini Mwanza. Kuna mgombea wa Buchosa akiwa anatetea ugali wake nimemsikia akimpamba sana Mama Samia na kufikia kusema anastahili tuzo ya Nobel.

Vipi mnakubaliana naye?

View attachment 3484971
Tuulize maoni ya watoto na ndugu wengine wa Ali Kibao na pia tuulize maoni ya mke wa Mdude Nyangali na ndugu zake wengine nao tupate maoni yao kwani nao pia ni Watanzania.
 
Ukiwa na elimu ya kuungaunga lazima uungane naye.
 
Back
Top Bottom