Km alichukua mamilioni ya ccm tutegemee akirud atatuambia ukweli kwani dhamira itamsuta pia baada ya ibada.
Ameenda kutubu..maana mabilion ya ccm aliyoyabeba hata anashindwa aanzie wapi kuyatumia
UKAWA wakiingia madarakan tutamdai alipe VAT tu
Kila siku najifunza, naanza kuamini juu ya UADILIFU wako wewe na DR hakika dhamira ilikusuta kwa kutoshriki kundi la...... Kweli, "Imani inazaa matendo".
Imani uliyonayo imejifunua katika tendo ulilolionyesha kujiondoa ktk kile ulichosema dhamira inakusuta.
Ahsante, tupo tunaokuelewa.
kwa wanaccm watamkumbuka daima kwa kuwa amekubali kusaliti mabadiliko
Ameenda kutubu..maana mabilion ya ccm aliyoyabeba hata anashindwa aanzie wapi kuyatumia
UKAWA wakiingia madarakan tutamdai alipe VAT tu