Kweli pesa sabuni ya roho

Kweli pesa sabuni ya roho

Ila hivi vibinti vya sikuhizi vinakera kuna kimoja kilifosi tuwe wapenzi huku anajua mimi ni mume wa mtu akawa anajifanya hapendi pesa nilivyoona usumbufu unazidi nikakubalikua nae muda si mrefu akaanza mizinga ila anakwepa kutoa show ikabidi nimkazie nataka show akakaza hatoi show kisa simuhudumii nikaona isiwe tabu nikampotezea kimyakimya.
Namie Kuna mmoja akanitema kisa icho icho kuwa sihudumii
 
  • Thanks
Reactions: R.K
.........kwa mtazamo wangu n kwamba kama uko na uhusiano na mtu na anakupa kitu unachotaka, bas na ww uswe mcho kumtunza n wajibu wako s utake kumchakaza mwenzio hata haumpi kiinuamgongo syo poa.


Kama vp n bora uchague kuwa sngle ule pesa zako mwenyewe, ukijua kupokea ujue na kutoa. Et mnajitetea et mnapata wote utamu, s utetez weny tija kama umeamua kuingia kwny mahusiano na mtu bas mtunze ili azd kuwa bomba s kuchakaaa.
wakati mpo single mnaishije? Kwa tafsir ya maneno yako mnakuwa mumechakaa, ni jambo la kusikitisha sana kuona mdada unaingia kwenye mahusiano ili ung'ae. Tafuta pesa zako ili ujipende mwenyewe.
 
wakati mpo single mnaishije? Kwa tafsir ya maneno yako mnakuwa mumechakaa, ni jambo la kusikitisha sana kuona mdada unaingia kwenye mahusiano ili ung'ae. Tafuta pesa zako ili ujipende mwenyewe.
Jf mnajifanyaga amuish kweny nch hii, weng mnajifanya kama hamuelewi kinachoendelea weng n wanafki lkn ukweli n huo mabnt weng wanafanya mahusiano kama kitega uchumi.
 
Jf mnajifanyaga amuish kweny nch hii, weng mnajifanya kama hamuelewi kinachoendelea weng n wanafki lkn ukweli n huo mabnt weng wanafanya mahusiano kama kitega uchumi.
Hilo kundi lipo popote pale ulimwenguni, kundi la kuuza mbususu ili kujikwamua kimaisha japo kundi hili pia limegawanyika wako wale advanced na wale cheap. Huyu advanced u mlenga mtu mwenye maisha na kufunga ndoa na kutengeneza familia kabisa. Na hili advanced pia limegawanyika wapo wale wanaojisahau baada ya kuingia katika maisha ya ndoa na wale wanaokumbuka walipotoka na kutumia muunganiko huo kujijenga zaidi bila kuleta athari au kwa athari katika ndoa yake. Kundi la pili ni cheap labour hawa hawana long-term plan. Hawa wanawaza hela ya leo pengine na kesho kutwa tu, hawa wanawaza starehe na anasa kama zote. Hulka ya kundi hili ni kuishi kwa hisani ya viungo vyao kwa kubadilisha mabwana kila uchwao. Na mara nyingi tabia hii ikishaota mizizi na akajikuta anapoteza mvuto katika mazingira yake basi uhamia makazi mapya na mwishowe u angukia kwenye madanguro ya wanaojiuza huko night club na sehemu kama hizo. Ila chanzo cha yote hayo ni wadada kukosa shughuli za kuwapatia riziki zenu za kila siku, wanawake walijikwamua kiuchumi wao wanamahusiano yenye afya zaidi na wanaingia kutimiza wajibu hasa wakujaza ulimwengu.
 
Back
Top Bottom