Ubahiri wangu unaniponza sana kiasi kwamba nimekua mtu wa kula class B kama sio C,kiukwel D sijafika.
Back to the point ninakitoto kimoja hiv umbo kama huddah wa kenya,sasa huyu dogo kanivumilia kwa ubairi lakin anaona kachoka maze make kila akilia shida lazima nishindwe kutatua.
Baada ya kuona baharia nakaza mwenye kanipiga pending ya maana kinoma ile,kila ukimtafuta ohoo nipo busy mara akwambie anakuja manungu(majinjioni) hasifike yanitafarani.
Ikanibidi nitafute ninapokosea ni wap,majibu niliyapata nikakujua ni Gambe langu make kiukwel ni mm nagambe gambe na mhmm la pili nikajua kushindwa kutimiza matakwa yake.Hapo sasa nikasema nijaribu kufanyia kazi hivyo vitu kwanza.
Dogo kumuita tu nilimshawishi vibaya ovyo,baada ya kuja ndo ikafata show kali iliosindikizwa na vipesa vya kiaina ikumbukwe kama pesa nishampa kati mahusiano bas itakua mara ya pili ndani ya miez 6
Sasa naona sms kasi ya 4g love love,mabaharia naona kidogo tuwajari hawa viumbe kidogo