Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,051
- 28,106
>>Kuwaelewa hawa mabeberu ni kazi ngumu sana.
Uovu ukemewe popote pale,haukubaliki,lakini utagundua wapo busy zaidi na afrika kuliko uchafu wa ndani ya nchi zao!Kwa hiyo "wakipotea" watu laki moja huko Ujerumani ndiyo inahalalisha Tanganyika wapotezwe tu?Siamini kama ni wewe ndiyo umeamdika hayo majambo.
Hilo si kweli.Huko kwao viongozi na wananchi wanaishi kwa adabu.Ndiyo maana maandamano na ubadilishwaji wa serikali/vyama ni kila uchaguzi.Tuwe wakweli na wasikivu wakitusema kwa mabaya yanayotendeka.Uovu ukemewe popote pale,haukubaliki,lakini utagundua wapo busy zaidi na afrika kuliko uchafu wa ndani ya nchi zao!
Kweli kabisa ambacho anafanya urusi kwa ukrein ndio ambacho ana fanya Israel kwa PalestineUovu ukemewe popote pale,haukubaliki,lakini utagundua wapo busy zaidi na afrika kuliko uchafu wa ndani ya nchi zao!
Na, kwenye hayo mataifa ya Ulaya/Ujerumani,hao watu hupotea na jitihada za kujua takwimu na kuwatafuta zinaonekana.Tofauti na huku ambapo watu wanatekwa na kupotezwa/kuuwawa kwa kificho au hadharani.Issue sio kupotea je cases hizo huwa zinakuwa resolved au haziwi resolved?
Hao watu wanapatikana au hawapatikani?
Takwimu zinasema ni 1% - 2% ya cases tu ambazo ninakuwa ni long term unresolved.