Kweli nimetendwa mie

Kweli nimetendwa mie

Kamsifia Vera sidika eti alivyokua sasa mzuri na amempenda haswa,nimejisikia vibaya

Hayo maimplants yana mwisho wake. Yatachakaa yatachina yatachuja

Ridhika na alichokupa MUNGU! Hakitakuletea maradhi.

Asojua uzuri wako huyo siye wako. Utampata wako ambaye hatasifia wa nje. Atakuona wewe tu.

Wa macho-mia mia haramu.
 
Back
Top Bottom