Fatma Bawazir
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 491
- 180
lakini Bi. Fatma huja-specify ni Voda ya wapi, huenda sio Tz? mie kwangu ka-modem kao kanakata network kama hakana akili nzuri tangia juzi. huenda package zetu ndio wanahamisha na wanakupeni nyie?? duh..kaz kwelikweli.
Wewe watumia package gani bibie?ni voda ya hapa hapa mjini dar unajua inaokana na maeneo sehemu nyengine inapatikana vizuri sehemu nyengine ovyo
Bi Fatma mbona unatuficha unacho download??
Bi Fatma mbona unatuficha unacho download??
mambo yetu yaleeeeeeeeeeeee
Wewe watumia package gani bibie?
Bi Fatma mbona unatuficha unacho download??
nilikuawa na download mambo nyeti si unajua jukwaa la wakubwa limehamia nyumbani
ulikua unajipa ubarikio / upako kwa laha zako sio?? unatisha kama ebola..nilikuawa na download mambo nyeti si unajua jukwaa la wakubwa limehamia nyumbani