Kweli Ndugai umelewa madaraka


hayo ndio matatizo yakubebana. Na mwisho unakuja ndugai nawenzake watakuwa wapole sana.
 
hayo ndio matatizo yakubebana. Na mwisho unakuja ndugai nawenzake watakuwa wapole sana.

Ni kweli anaonyesha upendeleo wa wazi kwa wabunge wa CCM na Serikali.

Wakati waziri anachangia hoja ya Mnyika, amemwacha akapitiliza muda wake wa robo saa kufuatana na kanuni hadi mbunge Lisu alipohoji! Wakati huo waziri alikuwa ametumia dakika 25!
 
anachojidanganya anadhani kwa upendeleo wananchi wataona kwamba anafanya vizuri kwa upande wa ccm kumbe anachofanya ni vizuri kwa wabunge wa ccm lakini wanaccm mitaani wanachukia upendelao ,wanachotaka ni hoja zenye manufaa kwa wananchi kama hile hoja ya mnyika ya maji safi kwa watu wa dar anapoiponda watu wa dar lazima wamchukie yeye na chama chake,majibu 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…