kweli ndoa bila ya harusi ni haramu?

kweli ndoa bila ya harusi ni haramu?

Mpanjas

Member
Joined
Jan 29, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Ninae mchumba wangu ambaye tumejuana kwa muda wa mwaka na nusu sasa. Nataka nimuoe ila shart lake tufanye harusi lasivyo tuachane na mimi nikotayari kufunga ndoa ya selikali.
 
Nafurahi kuwa rafiki yako ana misimamo mizuri. Kwanza fahamu kuwa ukimjua mwanamke kabla ya kuwa mkeo rasmi kuna mambo ya msingi ambayo baadaye hamtafurahia mtakapokuwa mmeoana... Hamtaheshimiana katika baadhi ya maeneo; Hamtakuwa na confidence ya kuwashauri wadogo zetu (wanandoa watarajiwa) kusubiri na hata kama mkiweza mtakuwa mnafanya kinafiki; Endapo mwanamke husika atapata mimba kabla ya ndoa heshima yake katika jamii itashuka; Mtoto atakayezaliwa baadaye mbeleni akifanya ufuatiliaji mdogo akafahamu mimba yake ilitungwa nje ya ndoa, atawapunguzia marks... TENDO LA NDOA NI TAKATIFU NA NI MUHIMU LIFANYWE KATIKA MPANGO WA MUNGU, nje ya hapo unapoteza baraka muhimu.. Anza na Mungu ufanikiwe kwa baraka zake.
 
Anataka show off ! Majanga!! Mwambie ndoa kwanza harusi baadaye! Yani akuache kisa harusi? Hakupendi huyo!
 
Nawewe kwanini ufungie ndoa serikalini,mpo dini tofauti ama?

Ya serikali anavaa tu shati lake na suruali la kuchumpa, bibie gauni kata mikono nywele twende kilioni
mashahidi wawili na camera, wanapanda zao bodaboda haoooooo
huko kwingine mara suti, moka, wapande verossa aaaah!!!
 
Back
Top Bottom