Tokea nilipotoa ilani asiwe anapokea mic na kuzungumza wakati wa ziara ili kuepuka vituko vilivyotokea alipotembelea Hospitali, maana vile ni vituko vya mwaka, alimaka alipoambiwa hapa panazalishwa watoto mia nane kwa mwezi na alipowaita walinzi watoke ndani ya chumba cha wagonjwa wenye matatizo ya kupumua, japo haichushi lakini nilisema sio sahihi kila analolisema liwepo kwenye sauti, kwa ufupi awachane na kutembea na vyombo vya habari visiweza kukwepesha mambo yasio ya kawaida, mfano kusema, kukohoa kujikuna, sasa naona vyombo vimewekwa pembeni