Kweli mungu ni mkubwa hebu ona hii

Hakuna photoshop hapo wadau? Maana siku hizi kila kitu kinawezekana.
 
shukuruni kwa kila jambo maana hayo ndiyo meapenzi ya Mungu kwenu
 
Hii ni uongo mchana kweupe, kwa muonekano tu ni kuwa jamaa amepoteza kama 30% ya ubongo wake, sasa munataka kusema binaadamu anaishi bila ubongo? Na kwa eneo ambalo linatatizo kwa huyu jamaa basi hataweza kutumia miguu, mikono, hatahisi kwa ulimi e.t.c... Photoshop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…