Inategema na mtu mwenyewe, kama hana principles ni sawa na kicheche tuu. Watu wanaoa bikra na bado wanasaidiwa na hali wao ndio wa kwanza kwa huyo mwanamke.
Mtalaka asietongozwa ni yule loose ila wanaojielewa hata ulie machozi ya damu kama alikwambia its over basi jua ndio utakula kwa macho.