Kama hukua bikra imekula kwako. Wenyewe waliokutangulia wakitaka wanakula vitu kama kawa.Juzi nimekutana na wangu wa zamani. Tulipotezeana baada ya kumaliza chuo. Ameolewa na anaishi huko mkoani.
Sahizi yupo nawewe.unafikiri ni wangapi mliokuwa nao chuo walikuwa naye huyo dada na wakikutana kama ulivokutana naye wewe wanakula idd vivyo hivo.be care mtanzania mwenzangu hilo ni lindo na kanuni ya lindo kupokeana!.
Aisee kukumbushia hasa Kama milachana kwa Amani ni jambo rahisi sana ..Ila kwa mwanamke uliyemuumiza wala usijaribu asije akakungata makende yako kwa hasira