Kweli, mke wa mtu ni sumu.

Kiluuj

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
692
Reaction score
278
Unaposikia mke wa mtu ni sumu, amini. Jamaa mmoja ameota matiti baada ya kujihusisha kimapenzi na mke wa jirani. Hii ni licha ya kuonywa na mume wa mwanamke ila akajitia hamnazo na kuendelea na uhusiano wa kimapenzi na mke wa mwenyewe.
 
Attachments

  • Kenyan-man-grows-breasts-after-sex-with-neighbours-wife1.jpg
    54.8 KB · Views: 216
So what are they trying to say?

That the cuckolded guy put a hex on his wife's paramour?
 
Aisee hii dawa nami naiomba..
 
Huyu hapa kabla na baada.
 
Attachments

  • Kenyan-man-grows-breasts-after-sex-with-neighbours-wife.jpg
    14.5 KB · Views: 200
Khaaa jamaa kanaswa vibaya tena titi ndala kabisa bora angempa chuchu saa6
 
Khaaa jamaa kanaswa vibaya tena titi ndala kabisa bora angempa chuchu saa6

SoniamG;
Mtu huvuna alicho panda. Huwezi sia mchicha uje kuvuna bangi. Alivutiwa na ndala hawezi pata saa 6. Hakuvutiwa na bint ya jirani bali muke ya jirani
 
SoniamG;
Mtu huvuna alicho panda. Huwezi sia mchicha uje kuvuna bangi. Alivutiwa na ndala hawezi pata saa 6. Hakuvutiwa na bint ya jirani bali muke ya jirani
Hahahhaha
 
Vipi katoka manyonyo tu au na kevu?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…