Kweli Mbowe anapewa nafasi kuongea, ananyimwa Jakaya? Nashauri familia hizi zikae zimalize bifu

Huu utakatifu wa kutetewa hivi Lowasa kautoa wapi?
Before 2015 ilikuwa inafahamika wazi kabisa kuwa Lowasa na Kikwete ndio Nembo ya Ufisadi nchi hii.
Nini kimebadilika ghafla hivyo? Lowasa kaukwaa Utakatifu na kila mtu anamuona kuwa Alistahili kuliongoza taifa hili.
Acheni basi !!!

Na wengi mnaosema Lowasa hiki Lowasa kile ni wafuasi wa Upinzani !!!!.
Acheni basi !!!
Lowasa hakuwahi kuwa Mpinzani !!!.
Lowasa ni mwana CCM kuliko hata chawa hawa kina Mwashambwa.
CCM ni kumejaa Majizi
Lowasa na JK wote ni majizi, mnaumia nini wezi wakidhulumiana?

Umeshaambiwa EL ilikuwa ni uangamizi dhidi yake. Ndiyo maana hata CCM walishindwa kumtuhumu kuwa fisadi alipowakimbia.

Hata aliporudi, waliendelea kumpa sifa. Lowassa kwa binafsi yake alishasema, tatizo ni uwaziri mkuu.

Angekuwa na makosa hayo unayoaamini ni ufisadi angeshughulikiwa na kuzimwa kabisa kwa hizi serikali dhalimu.
 
Wewe ndiye uumesema kweliii..
Naona wengi humu wanaongea pumba
 
Umeshaambiwa EL ilikuwa ni uangamizi dhidi yake. Ndiyo maana hata CCM walishindwa kumtuhumu kuwa fisadi alipowakimbia.

Hata aliporudi, waliendelea kumpa sifa. Lowassa kwa binafsi yake alishasema, tatizo ni uwaziri mkuu.

Angekuwa na makosa hayo unayoaamini ni ufisadi angeshughulikiwa na kuzimwa kabisa kwa hizi serikali dhalimu.
Kuna fisadi gani nchi hii ambaye ni mwanasiasa ameshughulikiwa na kuzimwa??
 
JK ni nyoka,yaani alichomfanyia Lowassa,JK alitakiwa asiwe anaishi kabisa. I wish Lowassa angekuwa na Roho ya Putin aisee. Putin anaweza samehe yote ila si usaliti.JK alimsaliti mwenzake tena kamwita fisadi,akamkata jina kwenye Urais.Yaani JK aliharibu Destiny ya Edo kwa kweli.
Acheni ujinga, mlitaka fisadi awe Raisi?.
 
Ila mnakosea kumsema KIKWETE Kwa uongo.

Rais anaemaliza muda wake Hana maamuzi ya mwisho kuamua nani awe Rais.
Rais anayemaliza muda wake ukumbuke bado yupo madarakani.

Ana kila nyenzo ya kufanya nani awe nani kabla hajatoka madarakani.
 
Kuyajenga sahizi ni kupoteza muda. Watu tunatakiwa kuwa wakweli wa nafsi zetu. Kilichopo moyoni ni vema kionekane katika matendo.

Kwa matendo yake, Kikwete alidhihirisha ni adui mkubwa wa marehemu Lowasa. Lowasa hakuhitaji upendeleo wala fadhila, alistahili tu kutendewa haki, na Kikwete alisimamia kuhakikisha Lowasa anadhulumiwa, hapati haki. Kikwete ndiye aliyemnyima haki Lowasa na wajumbe wa mkutano mkuu wasipate nafasi ya kumpigia kura Lowasa. Na hata alipogombea upinzani, ni Kikwete aliyehakikisha Lowasa na Maalim Seif hawatangazwi washindi wa uchaguzi licha ya ukweli kwamba wote walushinda. Kikwete aliendeleza uharamia na ushetani wake, hata kuamua kuvamia ofisi za timu ya Lowasa iliyokuwa ikijumlisha kura zake aluzozipata nchi nzima. Wakapora computer zao, na kuwarundika mahabusu wajumlishaji wasio na hatia. Kwa unyama alioutenda, tunamwombea laana zote mdhulumaji na mnafiki Kikwete

Kama Kikwete angekuwa japo na chembe ndogo sana ya utu, pamoja na unafiki wake, angepiga kampeni ya wazi na ya siri ili wajumbe wa mkutano mkuu wasimpe kura Lowasa, lakini kwa vile alijihakikishia kuwa uwezo huo hana, akaamua kutumia ushetani wa moja kwa moja.

Anayefanya matendo ya kishetani, maana yake amebeba roho ya shetani. Kutafuta suluhu na mtu huyo, ni kutafuta suluhu na shetani. Labda kwanza Kikwete atubu moyoni na kwa uwazi uovu ule alioutenda, halafu familia na jamii nxima imsamehe ili apate msamaha wa uovu wake kwa Mungu. La sivyo hiyo dhambi na uovu wake, ataishi nao, atatembea nao, na ataingia nao kaburini sikubyake ya mwisho.

Kikwete siku yake ya mwisho ikifika, uovu wake huu usikose kusemwa ili usindikize vizuri matanga yake.
Alifanya jambo bora kuzuia fisadi mwenzie asiwe raisi, namsifu JK kwahilo alitutendea haki watanzania wote kasoro watu wa Kaskazini ambao wao ndio walitaka Lowasa awe raisi bila kujali atapitia CDM au CCM.
 
Rais anayemaliza muda wake ukumbuke bado yupo madarakani.

Ana kila nyenzo ya kufanya nani awe nani kabla hajatoka madarakani.
Si Kweli, KIKWETE hakumweka Magu,

Wala Mkapa hakumweka KIKWETE.

Urais wa Nchi hii hautafutwi Wala kurithishwa kama mnavyodhani.

KIKWETE hakumsaliti Lowassa, Lowassa alikatwa na wasiojulikana.
 
Back
Top Bottom