Kweli mazoea mwanzo wa dharau

cdhan km mwanaume ukuitimiza majukum yako vzr kuna mwanamke atakudharau. sasa mijanaume mingine kitandan cfuri, kulea au kupatia mahtaj familia kila kitu kamwachia mama and stil unaleta mfumo dume nyumban full kumuonea mkeo unamgombeza had mbele ya hg. nani atakuheshim????
 
1.Sababu ya kwanza inakuwa umekosea mwenza

2.maisha ya ndoa ni tofaut kabisa na Yale ya uchumba kwan mnaficha makucha ili lengo la kuoa/kuolewa litimie kwan yawezekana mmoja wapo anakuwa amevutiwa na uzur,pesa,kipaji,umaarufu.

Ushauri.

Ili ndoa yako iwe sawa kuna mambo mengi yakuangalia wakati wa kutafuta mke/mume, jitathimin mwenyewe tabia zp ulizo nazo na utafute mwenye tabia kama zako mf kama ni mlev tafuta mlev,unapenda club tafuta wa hivyo hivyo, ni mcha Mungu tafuta mcha Mungu. Hapo ndoa hipo
 
cdhan km mwanaume ukuitimiza majukum yako vzr kuna mwanamke atakudharau. sasa mijanaume mingine kitandan cfuri

Hahahahaaa, hapo ulipo angetokea malaika akakuuliza unataka mume mwenye sifa zipi? Akakupa kalamu na karatasi ukaandika na ukampewa hutaacha kumtoa kasoro!

Ndivyo binadamu tulivyo,ila siku akiondoka ndipo tunatambua umuhimu wake.
 
Sijazungumzia habari ya walokole na wapagani mi nimeongelea kumkaribisha Mungu atawale mahusiano yako na ndoa yako...... Wamtumainiao Bwana ni kama mlima sayuni....hawatatikisika
ameeen
 

Penda mkeo na mtunze yeye na wtt wake utaheshimika
 
kuishi kwa mazoea ndio huharibu ndoa nyingi.wanandoa hutakiwa kuishi kwa kufanya vitu vipya kila siku.upendo wa kweli na kuishi kwa kumtegemea mungu ni chanzo cha mafankio
 

pole yamekukuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…