makosa ya kuchagua mwenzi...
makosa ya kuchagua mwenzi...
inaukweli flani japo sio sana..
ufafanuzi tafadhali hapo penye 'sio sana...'
chanzo cha dharau unaweza kuwa ww mwenyew mwanaume,, mnaweza kuwa mnapendana lakn mwanaume ukshindwa kujitambua na kutumbua thaman ya mkeo pamoja na heshima kwa mkeo hapo lazma atakudharau..
Mwanamke ni kiumbe chenye kupenda majaribu mara nyingi pasipo kujali kuwa anakupenda au hakupendi..
Ataleta vijimambo ili tu akupime upo kwenye msimamo gani?
Sasa mrejesho wako ndio unafanya akudharau au akuheshimu..

hayo ndo matatizo ya kukimbilia ndoani bili kujuanna vizuri
unajua kwamba hata waliookoka ndoa zao zinamatatizo vilevile sema tu hawayaonyeshi kwa kuogopa wataonekanaje kwenye jamii na uokovu wako. wanasemaga ndoa haina formula haawajakosea inaitaji uvumilivu na busara na mapenzi ya dhati kukabiliana na vikwazo, na ni vitu vidogovidogo sana ndo vinaletaga mzozo.Kuna watu wanajuana nje ndani.....wanapika na kupakua lakini ndoa zinasumbua vilevile. Cha muhimu ndoa inatakiwa ijengwe katika misingi ya ki-Mungu tangu mwanzo wa uchumba....hakika huwezi kujuta
unajua kwamba hata waliookoka ndoa zao zinamatatizo vilevile sema tu hawayaonyeshi kwa kuogopa wataonekanaje kwenye jamii na uokovu wako. wanasemaga ndoa haina formula haawajakosea inaitaji uvumilivu na busara na mapenzi ya dhati kukabiliana na vikwazo, na ni vitu vidogovidogo sana ndo vinaletaga mzozo.
Sijazungumzia habari ya walokole na wapagani mi nimeongelea kumkaribisha Mungu atawale mahusiano yako na ndoa yako...... Wamtumainiao Bwana ni kama mlima sayuni....hawatatikisika