Kweli mashabiki wa nchi hatujui mpira


Tatizo haujibu maswali yangu " kipi Bora ubaki na kocha aijenge timu na kupbania malengo ya timu au aje kocha mwingine alafu alete wachezaji wengine kipi Bora"huyo buba ni mfano wa madhara yakuleta kocha katikati ya msimu
 
Nilitaka kumjibu jamaa ila naona umekidhi majibu niliyotaka kumpa over 90%. Sote tumetazama games za Yanga vizuri kabisa. Mechi kadhaa kabla ya derby na baada ya derby, kadri muda unavyoenda ndivyo timu inavyozidi kucheza chini ya kiwango, mleta mada ametoa as if sisi sote mpira tulikuwa hatuutazami.

Derby alifanya Sub nyepesi sana ambazo hata sisi tusiokaa darasa la mpira kama anavyosema mleta mada tusingefanya sub kama zile.

Sote tunaamin ktk CV ya kocha ila kama amepewa muda wa kusahihisha makosa yake basi sisi hatuna la kukataa lakini kwa mechi za karibuni jamaa amechemka. Tumefungwa na Simba timu ambayo hata Sub haina.
 
Game plan ikamsaidia vipi ili kuifunga Simba? Mbona maswali unajibu kirahisi hivyo? Haya sasa ili nione utetezi wako una mashiko, niambie ni vipi hiyo game plan ilikuwa na msaada ikiwa Yanga ndio imepoteza mchezo na kuzidiwa kwa kila kitu.
Mankoba akiingia na game plan yake na ikafeli, uwezo wa kumuelewa mpinzani na kubadilika ndani ya game naona kwake ni ngumu. Huyo jamaa sijui hapo anamtetea vipi kocha kwa game hizi chache tulizoshuhudia, jamaa anaongea kama vile sote hatujaona mpira.
 
Tunashukuru bwana Mbwaduke
 
Hiyo game ya Azam naikumbuka na nilikuwepo uwanjani, game ya kwanza kabisa ya Nabi, tulifungwa na Prince Dube, beki Yanga namba 4 sijui 5 alikuwa yule Mzanzibae Ninja. Timu haikuwa na squad ya maana na ndio kwanza ilikuwa ni kama inajikusanya tu. Timu hata sub haikuwa nayo.
 
Shida kafungwa na thimba ndo maana hatumtaki.
 
Shida sio kufanya Sabu nyepesi shida no kwamba mechi ya derby timu ilizidiwa kila eneo hata kocha Angelia guardiola timu isingefanya chochote kwa sababu team ipo kwenye ujenzi na ukiwa kwenye harakati za kuijenga team lazima team iyumbe duniani kote hiyo Simba ambayo iko Bora sasa hivi imeangaika miaka mitano .kwahiyo hatupaswi kuweka hisia za kocha kufukuzwa badala ya kumuacha aijenge timu kwa manufaa ya baadaye mbona kwa nabi tuliweza
 
Shida kafungwa na thimba ndo maana hatumtaki.

Nabi alifungwa na simba lakin hakufukuzwa ndy anasababisha mpaka Leo unatamba kwenye vijiwe vya kahawa kwa kufika final kombe la shilikisho
 

Huo msimu sasa ndy yanga ilianza kusukwa pale mpaka leo masalia ya nabi bado yapo
 
Na injinia naye asipelekwe na upepo wa watu wajinga! Mkuu wala siyo Kibaigwa ni watu waliotoka Msolo wameshiba zao mihogo eti nao wanakuja kutupangia timu! Pumbavu kabisa! Mpira uliochezwa juzi kama tungecheza hivyo kwenye Derby lazima angekaa!
 
Sawa.lakini mchezo wa Simba uliopita baada ya halftime alipasa kuusoma mchezo na kuleta matokeo kipindi Cha pili kama alivyokuwa kocha mzee Nabi
 
Kitendo cha Manqoba kukaa muda mrefu Mamerodi hakimfanyi awe kocha mzuri... Unaweza kuwa mzuri huku na ukawafail huko.

Matola amekaa Simba miaka mingapi? Mbona haachiwi timu?

Mchukue Matola na Mganda halafu wapeleke south, mmoja mpe Kaizer Chiefs na mwingine mpe Orlando Pirates halafu vuta kiti uone ni nani atakuwa na uwezo wa kumchallenge Mamelodi...

Ili Manqoba aweze kufanya vizuri mleteeni wachezaji wanaolingana ubora na walioko Mamelodi, vinginevyo mtamlaumu.
 
Nakupinga yanga ndy amecreate chance nyingi kwa kupima idadi ya magoli aliyofunga mechi Saba goli 17wastani wa 2.43 per game Huku Simba mechi nane goli 19 wastani wa 2.37 per game lakini yanga Ana mchezo mmoja mkononi
 
Simba haina sub?.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…