Kweli mapenzi ni sawa na kifo tu

Kweli mapenzi ni sawa na kifo tu

LEVEL

Senior Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
195
Reaction score
51
nimetafakari sana nikaona mapenzi ni sawa na kifo tu kwani hakuna anaye weza kuyazoea mapenzi japo ni sehemu ya maisha, leo ukiyafurahia kesho yanakuliza, usipolia wewe analizwa jirani asipo lizwa jirani analizwa rafiki du maisha ni mafupi ila yana mitihani mingi sana.
 
nafikiri sasa umeshakua mtu mzima kama umelitambua hilo

KARIBU UKUBWANI
 
kuna maisha kabla na baada ya kuingia katika mapenzi so kama unahisi njia moja iko wrong, try another way
 
nimetafakari sana nikaona mapenzi ni sawa na kifo tu kwani hakuna anaye weza kuyazoea mapenzi japo ni sehemu ya maisha, leo ukiyafurahia kesho yanakuliza, usipolia wewe analizwa jirani asipo lizwa jirani analizwa rafiki du maisha ni mafupi ila yana mitihani mingi sana.
Haya Kwahyo Na Kifo Ni Sawa Na Mapenzi???!!!! Daaah!! Mola Tusamehe Wajaa Wako.
 
ukiona manyoya.....! ndo hivyo ndugu yangu. ila kama pana kaukweli vile
 
Mapenzi ni matamu pale unapopendwa ni machungu pale unapopenda usipopendwa...
 
Back
Top Bottom