Kipaji Halisi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 2,280 Reaction score 1,366 May 31, 2012 #1 ..Kijana alikubali kuchafuka..kisa Tshirt yake ipate Autograph ....ili ampe Binti avae.. ..na jamaa akawa SHUJAA wa huyo binti... Source..Tangazo la OMO
..Kijana alikubali kuchafuka..kisa Tshirt yake ipate Autograph ....ili ampe Binti avae.. ..na jamaa akawa SHUJAA wa huyo binti... Source..Tangazo la OMO
Good Guy JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 3,822 Reaction score 1,434 May 31, 2012 #2 kipaji halisi said: ..Kijana alikubali kuchafuka..kisa Tshirt yake ipate Autograph ....ili ampe Binti avae.. ..na jamaa akawa SHUJAA wa huyo binti... Source..Tangazo la OMO Click to expand... jamaa yuko radhi a hustle town kutwa nzima, apate pesa ahudumie mamaa nyumbani. Source, mtaan.com
kipaji halisi said: ..Kijana alikubali kuchafuka..kisa Tshirt yake ipate Autograph ....ili ampe Binti avae.. ..na jamaa akawa SHUJAA wa huyo binti... Source..Tangazo la OMO Click to expand... jamaa yuko radhi a hustle town kutwa nzima, apate pesa ahudumie mamaa nyumbani. Source, mtaan.com
Remmy JF-Expert Member Joined Jun 9, 2009 Posts 4,701 Reaction score 1,810 May 31, 2012 #3 Hafu sikulielewaga hili tangazo, kumbe ndo hivyo......chezea binti mzuri wewe.