kweli kuna watoto wameumbika!!

Katibu wetu angemuona huyu asingemwacha hata Kwenye maandamano angetoka nae
 
Asilimia kubwa ya hawa wadudu/totoz ni mito tu kama Limpopo au lufiji nayaweza kuwa hata victoria falls!
 
Anajitahidi sana!!na ikiwa ana tabia nzuri ahh Muumba asifiwe!ila kama tabia kama za Wema hafai asilani!
 
Kwa uzuri wa sura na umbo nampa % zote, ila kwa kuduu (kusex) wavivu sana awajitumi utadhan umelala na gogo la mti wa mbuyu.
 
Aisee umenikumbusha mashairi ya huyu babu!!
 
Usafiri wa kifahari,kila akitaka gari anachange korando Royce rolls range,mara Mercedes benz.......
...wakati msela kabwela, kajamba nani, maisha ya uswahilini Temekeee Mikoroshini, sina hata baiskeli... Zamani ndo kulikuwa na mistari yani, sio sasa hv.
 
Kwetu singida ni wadada wa nyumbani,karibu singida
 

dahhhh umenikumbusha mbali na huo wimbo mwehh:A S shade:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…