Kweli kua uyaone; Nimeamini ndoa ni kitu kigumu sana

namba mn=bili n atatu nimecheka ila pia ndio kuna somo…...
1. sasa wazazi sijui wanaficha nini eti wamemshauri afunge ndoa tfasir ni kuiwa jamaa hajajipanga hajui cha kufanya so ndo aya kupangiwa...kwa nini usilizwe hivo..
2. pia jamaa mtu wa kansani so anakuwa goodboy yani hana ubaharia ndio maaba kabambikiwa mtoto siyo wake...anaanza kuagawa..bora hajajiua kapiga pombe tu
 
Back
Top Bottom