Kweli kidoti

huyu binti ni matata sana , she is cute anatakiwa ajiheshimu apate mume msafi kabisa
 
Kuoa hawa mabinti ni kujikanumba mwenyewe.Bora umege usepe.Wapi almasi anataka kulewa mwenzenu
 
Kuoa hawa mabinti ni kujikanumba mwenyewe.Bora umege usepe.Wapi almasi anataka kulewa mwenzenu

Tehetehe .. demu huyu yupo peace sana.ukimjua personally ... Nakumbuka.kipindi nipo alliance francies .. kabla hajawa maarufu kipindi hicho nilimfananisha na demu flani ambaye Nilikuwa namfukuzia.. wakati.wa.maongezi nkagundua nimechemka wrong target ila Alikuwa mtaratibu sana tulipiga story nkasepa ..
 
mimi vidoti vyote navipenda,Jokate Mwegelo na Vanessa Mdee............vidoti noumerr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…