Kweli kenyatta msimamo anao!!

Kweli kenyatta msimamo anao!!

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
499
Katika hali isiyokuwa ya kawaida , rais barrack obama alishikwa na mshangao pale alipomtamkia barrack obama katika hotuba yake kwamba , " wapo tayari kushirikiana katika mambo yote ambayo wamekubaliana na kutiliana saini, lakini sio mapenzi ya jinsia moja hilo hatupotayali na hatulikubali kabisa kabisa, kauli hiyo ya kenyatta ilimfanya obama kufuta ajenda yake iyo ingawa ilikuwa miongoni mwa ajenda alizo kuja nazo
 
Amekuwa mfano mzuri kwa kujiamini na kusema lile ambalo ndio ukweli kwa wananchi wa Kenya.
 
Rudi tena soma vizuri mkuu , vp ulilala umekula mende nini?

Sikujua kama mende ni chakula. Kwenu mnakula? Safari nyingine tulia uandike kitu kinachoeleweka na ukikosolewa usikasirike na kuanza kurusha ngumi gizani kwa kajeli za kitoto . Kukosolewa ndo ukubwa huo... Karibu!
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida , rais barrack obama alishikwa na mshangao pale alipomtamkia barrack obama katika hotuba yake kwamba , " wapo tayari kushirikiana katika mambo yote ambayo wamekubaliana na kutiliana saini, lakini sio mapenzi ya jinsia moja hilo hatupotayali na hatulikubali kabisa kabisa, kauli hiyo ya kenyatta ilimfanya obama kufuta ajenda yake iyo ingawa ilikuwa miongoni mwa ajenda alizo kuja nazo

Wewe uliona wapi agenda za obama?acheni uzushi.au nawe ni mdau muhimu kwenye ndoa hizo haramu?
 
muwasilishaji ahsante kwa mada...... Hao vizuu wanaokosoa..... Paraphrasing Badala ya content..... Ni bangi we endelea tu
 
Last edited by a moderator:
Wewe uliona wapi agenda za obama?acheni uzushi.au nawe ni mdau muhimu kwenye ndoa hizo haramu?

Ndio mdau ila naowa , pili licha ya kujua obama kabla ya kuja aliweka wazi nini anakuja kuzungumza , unadhani ni viongozi wenu uficha mambo kama anakwenda kupunga majini?
 
Back
Top Bottom