Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,219
- 6,080
Wewe kweli Mwalimu mwenye maadili,hongera naona huwezi kuwatumia.Hakuna changamoto mkuu kikubwa ni kuishi ndani ya maadili ya kazi tu hao watoto wa kawaida tu labda uwe na ugwadu sugu ndo utaona ualimu na madenti ni changamoto
Code of conduct MkuuWewe kweli Mwalimu mwenye maadili,hongera naona huwezi kuwatumia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuuuu umeuaaaa!!,.Ningetiririka nao kama walivyojipanga hapo bahati yao huwa sitongozi wanafunzi labda itokee tuu.
Hakika mkuu ila dah[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Code of conduct Mkuu
Hahaha watakutandika bani.Nashangaa aisee jamaa wamebadili kabisa Uzi wangu,duuu!!..sijali narudishaa,,View attachment 420341
Unajua kusoma na kuandika kwa mbwembwe hivi halafu unasema walinu ni hatari kuliko hatari yenyewe. Ebu fafanua hataei yake mkuu.Jamii haijui walimu ni watu hatari sana kuliko hatari yenyewe
Inahitaji roho Mtakatifu ainglie katiiHakika mkuu ila dah[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
sasa hapo hata hizo nguvu za kufundisha unazitolea wapi?Nashangaa aisee jamaa wamebadili kabisa Uzi wangu,duuu!!..sijali narudishaa,,View attachment 420341
Hakika mkuu.Inahitaji roho Mtakatifu ainglie katii
Mbona kama michango haiendani na uzi? Au mie ndio kichwa ngumu!!!
Hahahahahahaha Mkuu me siwez kuwafundisha aisee unafiki tuache!!!..sasa hapo hata hizo nguvu za kufundisha unazitolea wapi?
Hii ndio post yenyewe,jamaa wamebadili Mkuuu!!..View attachment 420369Hii ndio post ila Mods wamebadilisha ndio maana hujaelewa.