kweli huyu mtu anamapenzi ya dhati

kweli huyu mtu anamapenzi ya dhati

hapana anaweza kuwa ana kupenda hila kaamua kuvunja mkataba ili muingie mkataba mpya
 
tena uskute ndo kanaingia kwenye ulimwengu wa maloveee! Lol
Sio kwamba kameingia, bali kamo ndani ya hiki kisiwa cha malavidavi, hakaelewi elewi, kanaona kama kako kanaelea hewani, na hakajui katatua lini ardhini.
 
katoto ka watu
washakavuruga hakiyanani lol!!
hahahahahah. Pengine huyo aliemuahidi mambo yameharibika si unajua mishemishe mjini zikigonga mwamba tena. Sasa yeye anakua bado yupo kwenye ile ahadi maskini ya Mungu hajui mambo yanaweza kubadilika wakati wowote. Hii shida wanapochukua hivi vitoto jamani
 
nina swali kama unamvulana au msichana wako na kuwekeana makubaliano ya kitu fulani na hatimaye huyo mpenzi kuja kukugeuka je ni kweli huyo mvulana au msichana anakupenda?
shida yako ni nini hutaki kujulikana kama wewe mvulana au msichana!!
 
Hah! upo dunia ya ngapi? kugeukana na kusalitiana ndio version mpya ya mapenzi (mapnz v2000.13).... be ready for a new version,coming soon...
 
hahahahahah. Pengine huyo aliemuahidi mambo yameharibika si unajua mishemishe mjini zikigonga mwamba tena. Sasa yeye anakua bado yupo kwenye ile ahadi maskini ya Mungu hajui mambo yanaweza kubadilika wakati wowote. Hii shida wanapochukua hivi vitoto jamani

na hivi vitoto viache
kuharakia mambo ya kikubwa jamani!!
 
Ili kijihakikishia unabaki salama acha kuingia katika ahadi ambazo zinamuweka mwenzio katika majaribu ya kuivunja.
 
Tatizo wanaingilia mambo ya kikubwa kabla ya wakati. Hayakimbii haya yapo tu!
 
Back
Top Bottom