kweli huyu mtu anamapenzi ya dhati

kweli huyu mtu anamapenzi ya dhati

glecious

New Member
Joined
May 18, 2013
Posts
1
Reaction score
0
nina swali kama unamvulana au msichana wako na kuwekeana makubaliano ya kitu fulani na hatimaye huyo mpenzi kuja kukugeuka je ni kweli huyo mvulana au msichana anakupenda?
 
mbona hujiamini? Si uulize swali lieleweke, kitu gani unachozungumzia?
 
sijakuelewa.!mbona unaandika kama unakimbimbizwa?
 
nina swali kama unamvulana au msichana wako na kuwekeana makubaliano ya kitu fulani na hatimaye huyo mpenzi kuja kukugeuka je ni kweli huyo mvulana au msichana anakupenda?
My daughter, how old are you?
 
sii useme tuu kuwa jamaa anataka kuisasambua papuchi yako wakati alikubali kusubiri
 
Wazazi wekeeni kompyuta zenu na simu pasiwedi. watoto wanazi-misuse
 
nina swali kama unamvulana au msichana wako na kuwekeana makubaliano ya kitu fulani na hatimaye huyo mpenzi kuja kukugeuka je ni kweli huyo mvulana au msichana anakupenda?

kitu gani hicho kisicho semeka......?
afu huko kwenye msichana/mvulana si ungetumia jina moja tu la
mpenzi nadhani ungeelewaka zaidi
 
Siku hizi huko milembe naona wagonjwa mnaruhusiwa sasa kutumia cm au laptop!
 
Dont trust anyone out of your family, because the only person who having a real love is your parent.
 
Duuuuhhhhh...Mlivyokishambulia jamani..Nahis kimejutaaaa kupost shda yake...OK..Kama kakiuka maagano mliyowekeana huyo hana mapenz ya dhat mwaya..

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom