Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,766
- 167,961
Masikiniš„¹, kwahiyo uko wapi.....Nilipata mwaliko wa kwenda huko mkoani kwenye tukio la rafiki yangu mmoja, nikaona si vibaya nikaongozana na bibie.
Bibie akanipa bajeti yake kuanzia mavazi pamoja na vitu vidogo vidogo, ikabidi nimuwezeshe ili tu tutoke wote.
Siku ya tukio, tukawa tunakula pamoja na kupiga maji, tulipiga sana na kulewa sana; katika mazungumzo tukajikuta tumekwazana, nikajikuta nimemfinya mkononi.
Bibie akaamua kutoka nje kwa hasira, akakaa huko zaidi ya lisaa; baada ya muda namuona amerudi na mimi niko chakari kweli, baada ya kunifikia, akavua kiatu chake cha mchuchumio na kunianza kunipiga kichwani, damu ilitoka nyingi sana, ilibidi tuamuliwe na kuwahishwa kituo kidogo cha afya.
Bahati nzuri kwa sasa naendelea vizuri ingawa kuna dawa natumia; sasa najiuliza nimpige chini mazima au niendelee naye kiaina, ingawa katika mawasiliano naye anasema yuko tayari tuachane ila akihitaji matumizi na malezi ya zaigoti niwe tayari kugharamia.
Na sababu ya yeye kunifanyia hizo fujo, anasema nilimuabisha mbele za watu, akaamua na yeye asiwe mnyonge.
Kweli huyu dada alitaka kunitanguliza mbinguni.
Wanaendaje mkuu?Duuh,Mbinguni hawaendi na vidonda!
Basi endelea nae na mavidonda Yako ya kipigo Cha mchuchumio!Kweli mkuu, ila kupiga chini inahitaji moyo sana; chura hatari, shoo anaiwezea, nikipata mbadala wake mwenye viwango kumzidi naweza kumsahau
Ugua pole mkuu... ukiileta usiache kunitag ššNitaileta siku nyingine, sasa hivi najiuguza na maumivu ya kichwa
šššila dahh! naimagine upo maji halafu umepigwa na mchuchumio kichwani mbaya zaidi hadharaniš. Bai ze wei suluhusheni muendelee kuishi pamoja tu Mkuu.
Kijana mpumbavu.Nilipata mwaliko wa kwenda huko mkoani kwenye tukio la rafiki yangu mmoja, nikaona si vibaya nikaongozana na bibie.
Bibie akanipa bajeti yake kuanzia mavazi pamoja na vitu vidogo vidogo, ikabidi nimuwezeshe ili tu tutoke wote.
Siku ya tukio, tukawa tunakula pamoja na kupiga maji, tulipiga sana na kulewa sana; katika mazungumzo tukajikuta tumekwazana, nikajikuta nimemfinya mkononi.
Bibie akaamua kutoka nje kwa hasira, akakaa huko zaidi ya lisaa; baada ya muda namuona amerudi na mimi niko chakari kweli, baada ya kunifikia, akavua kiatu chake cha mchuchumio na kunianza kunipiga kichwani, damu ilitoka nyingi sana, ilibidi tuamuliwe na kuwahishwa kituo kidogo cha afya.
Bahati nzuri kwa sasa naendelea vizuri ingawa kuna dawa natumia; sasa najiuliza nimpige chini mazima au niendelee naye kiaina, ingawa katika mawasiliano naye anasema yuko tayari tuachane ila akihitaji matumizi na malezi ya zaigoti niwe tayari kugharamia.
Na sababu ya yeye kunifanyia hizo fujo, anasema nilimuabisha mbele za watu, akaamua na yeye asiwe mnyonge.
Kweli huyu dada alitaka kunitanguliza mbinguni.
Wakiwa Safi na mavazi meupe,vidonda vitachafua sandašššWanaendaje mkuu?
Ni mchepuko mkuu, anasema ata tukiachana malezi ni muhimu kwa kiumbe alichonacho; mbaya zaidi anajua kudai haki mpaka mahakamani.Kumbe mlikuwa mmelewa?
Hayo ni matokeo ya ulevi! Kama ni mkeo na mlifunga naye ndoa hapo usimpige na wala usimuache!
Lakini kama ni hawala au mchepuko ni hiari yako kukaa naye au kumwacha aende zake!
Aise huyo ni mkurya nini?
Anasema nilimdhalilisha mbele za watu kwa kumfinya, nategemea baada ya wiki mbili nikiwa powa nimcheki.Pole lakini,. Usiachane na huyo kamanda
Hama mji!Na badilisha lineNi mchepuko mkuu, anasema ata tukiachana malezi ni muhimu kwa kiumbe alichonacho; mbaya zaidi anajua kudai haki mpaka mahakamani.
Asante mkuu, kwa kulia kwa niaba yanguYaani nimelia sanaaaa
Ilikuwaje mkuu?Huna tofauti na kisura wa mbeya
Usirudie tena sasa,. Ila huyo anakufaa sanaAnasema nilimdhalilisha mbele za watu kwa kumfinya, nategemea baada ya wiki mbili nikiwa powa nimcheki.
Njoo unichue chue kichwa kiweze kutuliaMasikiniš„¹, kwahiyo uko wapi.....
Nangojea mtoto azaliwe nimuonyeshe alama ya kipigo cha mama yakeBasi endelea nae na mavidonda Yako ya kipigo Cha mchuchumio!