Kweli huyu dada alitaka kunitanguliza mbinguni

kwa kifupi ngoja niwasaidie wavivu wa kusoma ni kwamba, jamaa anaweka wazi kuwa yeye ni kati ya wale wanaume wanaopigwa na wake au mademu zao.
over...
 
kwa kifupu ngoja niwasaidie wavivu wa kusoma ni kwamba, jamaa anaweka wazi kuwa yeye ni kati ya wale wanaume wanaupigwa na wake au mademu zao.
over...
Sasa utafanyaje mkuu, kumpiga mwanamke ni kosa
 
Achana na walanguzi mkuu

Huyo ndo pisi sasa askari wangu.

Au unataka pisi mideko ambao neno sitaki wanatamka "taaki"?
 
Pole mkuu... yule dada wa kilimanjaro mliishia nae wapi?...
 
Duuh,Mbinguni hawaendi na vidonda!
 
😄😄😄ila dahh! naimagine upo maji halafu umepigwa na mchuchumio kichwani mbaya zaidi hadharani🙌. Bai ze wei suluhusheni muendelee kuishi pamoja tu Mkuu.
 
Kumbe mlikuwa mmelewa?
Hayo ni matokeo ya ulevi! Kama ni mkeo na mlifunga naye ndoa hapo usimpige na wala usimuache!
Lakini kama ni hawala au mchepuko ni hiari yako kukaa naye au kumwacha aende zake!
Aise huyo ni mkurya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…