Kweli hii ni duniani

Kweli hii ni duniani

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
3,391
Reaction score
1,546
Sio siri kwa Mungu mbali.

Imenishangaza sana kuona hata viongozi wa dini,ambao tunawategemea sana katika kutuongoza katika maisha yetu ya kiroho kuwa vipofu kiasi hiki.

Hivi ni kweli hawaoni kuwa hii rasimu wanayoipigia kura ya ndiyo ina mapungufu mengi kiasi hiki?hivi hawaoni kwamba wanakubali matatizo kwa ajili ya watanzania milioni 45?

Hivi wamesahau kuwa wanapaswa wa act haki bin haki?

Hivi hawaoni kwamba wanapaswa kukemea mambo yote yalikiuka maadili?

Hivi ni njaa au kupenda pesa?

Ni kweli wana haki ya kuchagua wanachokipenda lakini katika swala hili la katiba ambapo wanafanya maamuzi ya watu zaidi ya mil 45 wanapaswa kuwa na msimamo ili haki na kile kilicho sahihi kifuatwe?


kweli hii ni duniani,made in tanzania

 
Dini ni majanga bora tuanzishe kitu kingine kiwe badala ya dini.Yaani viongozi wa dini wakipewa hela wanakaa kimya na hawasemi lolote zaidi ya kupongeza mafisadi na kupokea hela zao
 
sio siri kwa Mungu mbali.imenishangaza sana kuona hata viongozi wa dini,ambao tunawategemea sana katika kutuongoza katika maisha yetu ya kiroho kuwa vipofu kiasi hiki.hivi ni kweli hawaoni kuwa hii rasimu wanayoipigia kura ya ndiyo ina mapungufu mengi kiasi hiki?hivi hawaoni kwamba wanakubali matatizo kwa ajili ya watanzania milioni 45?hivi wamesahau kuwa wanapaswa wa act haki bin haki?hivi hawaoni kwamba wanapaswa kukemea mambo yote yalikiuka maadili?hivi ni njaa au kupenda pesa?ni kweli wana haki ya kuchagua wanachokipenda lakini katika swala hili la katiba ambapo wanafanya maamuzi ya watu zaidi ya mil 45 wanapaswa kuwa na msimamo ili haki na kile kilicho sahihi kifuatwe?


kweli hii ni duniani,made in tanzania

Viongozi wa dini hasa ni asilimia 0.0001 Waliobaki ni wajasilia mali, wezi, wazinzi, wahuni na majambazi.
 
Dini ni majanga bora tuanzishe kitu kingine kiwe badala ya dini.Yaani viongozi wa dini wakipewa hela wanakaa kimya na hawasemi lolote zaidi ya kupongeza mafisadi na kupokea hela zao

1. Forerunners of imperialism
2. One of state coercive organs
 
Back
Top Bottom