Sawa mkuu wangu nimekuelewa vizuri sana.Siwezi bora nitumie hyo hela ata kununua kahaba
Sasa unateseka sababu ya hizo hela? Kwani anataka mamilion au tuhela mbuzi twa kutumia siku mbili tatu?Kuacha namuacha lkn n vigumu kumsahau mkuu. Inakaribia mwaka but bado yupo moyoni
HahhhaNi june 29
Shule bob.Itakuweje!?
Sawa, ila vyovyote vile (upo secondary au sio) mimi nilikusaidia tuu kuielewa comment ya 29 june.Mama sisomi secondary mimi