tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,146
Wakubwa shikamoni, wenzangu habari za jioni. Mimi ni kijana ambaye natafuta mchumba ambaye mambo yakienda sawa nataraji awe mke. Katika mizunguko ya kusaka degree nilimuona binti wa 2nd year, alinivutia na nilifanya jitihada nikapata namba yake, niliwasiliana naye kama 2 dayz na akahitaj anione, tulionana na tukaongea machache, baada ya hapo mawasiliano yalikuwa mazuri, na tukawa tunaonana mara chache, kwani tulikuwa busy na maandalizi ya UE. Sikuwa na jinsi, ikabidi nimueleze jins ninavyomhitaji, alinijibu kwamba ana mtu. Nilikubaliana na alichokisema, na nikafanya kautafiti kadogo na kugundua kuwa ana uhusiano na mtu ambaye amemzid sana kiumri, hivyo anaogopa/anaona aibu kumtambulisha kwa wenzake, rafik zake weng anawambia yuko single.
...Tatizo hapa ni kwamba hataki kunipa muda wa kukaa na kuongea naye, kuna muda huwa nataman kumpotezea, lakini upande mwingine nafsi yangu inambia yeye ndiye anayenifaa. Nishaurini/nipeni mbinu. Asanteni
...bora ulivyothibitisha ukweli, fuata moyo wako.
...Mawazo mabaya, usifuate akili yako, Utaumia!
Wanawake wote wana sifa moja....
They can change anytime depends with the way unavyo deal nae..
Sasa wewe amua.kama unamtaka kweli....mbadilishe mawazo
inawezekana trust me
Wametoa Thanks wakati naihitaji!Hua nachoka kweli kusikia wanawake wote wako hivi au vile!😛ray2: The Boss!
...baadhi bana, sio wote.
Experiences 'zetu' zinatofautiana.
anaweza change, jipe mda kama miezi 3 mbele, hakikisha ndani ya miezi hii unamtumia sms za asubuh, mchana, jioni na hata usiku bila kusahau meseji za kimatukio. lazima one day atashow respond tu, ila cha muhimu jipe mda wa kuyafanya yote haya na uwe na moyo wa subira.
Marahaba,natumai hujambo.....sijui kwanini unamfikiria msichana ambaye hujui hata kama anakupenda kuwa mkeo mtrajiwa.....ni vizuri ukamfahamu zaidi huyo msichana wake,achana na mambo ya ana mtu aliyemzidi umri sana na anaona aibu hata kumtambulisha....that does not change the fact that she might be deeply in love with him pamoja na umri wake.......usipoteze muda wako kumfikiria mtu asiyekuwa na mpango na wewe,wasichana wapo wengi tu.....zungumza na huyo dada na heshimu atakalosema....maisha yaendelee!:washing:

anaweza change, jipe mda kama miezi 3 mbele, hakikisha ndani ya miezi hii unamtumia sms za asubuh, mchana, jioni na hata usiku bila kusahau meseji za kimatukio. lazima one day atashow respond tu, ila cha muhimu jipe mda wa kuyafanya yote haya na uwe na moyo wa subira.
dah kiongoz huyo ypo na mdingi kwa sasa we uoni kwamba utampora huyo dingi utaoa then dingi hyohyo atakuja akugongee mkeo we unafkil mpz yataisha kwa mdingi acha kupoteza muda wako madem weng wamejaa acha kubp kwenye mpz
Hehehe mwambie 'unataka asiwe king'ang'anizi!Aache kukusumbua kabisa labda then utamfikiria!'

watu wa aina hii wanakera sana!kuna mtu ananifanya nitamani kubadili namba yangu ya simu ambayo nimeitumia for 10 yrs!yaani ashaambiwa hatakiwi mara kadhaa si uelewe jamani!mtu anapiga simu kila saa mwaka mzima eti niambie wataka niweje ili unipende!unamfundisha kutokuwa mstaarabu!
sawa lakini si rahisi kumkuta asiye na mtu

watu wa aina hii wanakera sana!kuna mtu ananifanya nitamani kubadili namba yangu ya simu ambayo nimeitumia for 10 yrs!yaani ashaambiwa hatakiwi mara kadhaa si uelewe jamani!mtu anapiga simu kila saa mwaka mzima eti niambie wataka niweje ili unipende!unamfundisha kutokuwa mstaarabu!
Kakwambia nani?Wasichana kibao hawana watu!
Sasa unataka kumtoa mtu kwenye mikono ya mtu wake alafu aje atolewe kwenye yako pia?Endelea kuangaza macho...au badilisha style ya kuwatokea maana inawezekana unawaboa kwahiyo wanatumia njia rahisi kukukataa!mh inawezekana kweli? Kila ninayekutana naye et ana mtu