Kweli CUF====CCM and in any case they can´t be separated!!!


eliesikia

eliesikia

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Messages
447
Likes
71
Points
45
eliesikia

eliesikia

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2010
447 71 45
mjumbe wa Bunge la SADC-PF ni Mohammed Habib Mnyaa (Mkanyageni-CUF), ambaye alitangazwa mshindi kwa kura 275 dhidi ya kura 47 za mgombea wa CHADEMA, Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa.


Kwa hizo kura aisee unaweza kugundua hiyo janja ya nyani kati ya CCM na CUF..... Katika hili mimi namuonea huruma CUF ambaye yuko muhututi kisiasa:A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry:... Mimi yangu macho tuu lakini ndo kinapotea hivyo.....

Kisa: Mnyaa alijitoa kugombea unaibu spika!!!
 

Forum statistics

Threads 1,236,841
Members 475,301
Posts 29,269,572