Kweli CHADEMA wamechanganyikiwa baada ya kufeli mipango yao miovu

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,169
Reaction score
48,681
Mtu atajilikana kuwa ni kichaa kwa mavazi, muonekano wa sura yake au kauli zake.
Ila 90% uendawazimu wa mtu hupimwa kwa maneno yake.
Huku 10% tu ndio tutampima mtu kwa mavazi, nywele na muonekano.
Kauli mbili za Heche ndani ya hotuba moja zinathibitisha kuwa John Heche vice chairman wa CHADEMA ni tahira.
1. Kauli ya kwanza
"Hatuitambui serikali ya Rais Samia"
2. Kauli ya pili
"Tunaitaka serikali imwachie Mh. LISSU haraka bila masharti yoyote".

Serikali gani imwachie LISSU huku nchi haina serikali unayoitambua?
Kama LISSU ameshikiliwa na kushitakiwa kinyume na taratibu na hana hatia kwanini mlipeleka mawakili na nyie kuhudhuria kesi?
 
Samia atakuwa mwendawazimu mtu wa kubwatuka
 
Naona unabwatuka.
 
Samia wakati wa kuapisha mbele ya majeshi akisema
1 waandamaji wanatoka nje?
Bungeni ni watoto na vijana waliofiata mkumbo
 
Samia wakati wa kuapisha mbele ya majeshi akisema
1 waandamaji wanatoka nje?
Bungeni ni watoto na vijana waliofiata mkumbo
yes yuko sahihi.
yaani vijana kutoka Kenya walikuwepo na vijana wafuata mkumbo wa hapa nchini ndio walikuwa wengi zaidi.
Hata Kenya ilikiri vijana wao kushikiliwa Tanzania kwa vurugu za October 29
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…