Kidumu chama cha mapinduzi, kidumu, kitaendelea kudumu, hakina wenyewe, wenyewe ni sisi pamoja na wewe na hata kama hawataki, CCM namba ONE
hao wala unga wa kariakoo hata daftarini hawajajiandikisha.
Mkuu kwani hawajui kwani wao wakiumwa na kichwa tu wanaenda kucheck US?Kwani hawaoni nchi yao inavyozidiwa na jirani zetu?unataka achukiwe nani zaidi ya ccm?
wanao wameenda shuleniKidumu chama cha mapinduzi, kidumu, kitaendelea kudumu, hakina wenyewe, wenyewe ni sisi pamoja na wewe na hata kama hawataki, CCM namba ONE
akikuambia nchi itayumba na ccm tunazika Leo leoTuambieni kwanza waliokwapua escrow kupitia stanbic