kweli bunge la sasa bongolala

regam

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
269
51
Kuna hoja tundu lisu ametoa kuwa suala la usimamizi wa mahakama lisimamiwe na bodi maalum na siyo kisiasa. Limeleta mvutano na kusababisha kupiga kura kwa kusema ndiyo au hapana. Imeonekana kama wamegongana na hivyo kuanza kutaja jina mojamoja ikiambatana na jibu la ndiyo au hapana.
Inasikitisha kwamba baadhi ya wabunge akiulizwa anajibu ndiyo kisha hapana. Kwa kweli utoto umezidi sana mjengoni. Yaani inaonyesha waziwazi makinda anafurahia wale wanaopingana na hoja ya tundu lisu. Hata mizengo alianza kwa kusema ndiyo, kisha akasema siyo na alipoulizwa mara ya tatu akasema ndiyo.
Kweli inauzi saaana.
 
Mkuu nilikuwa naangalia kwenye TV, kwajinsi mambo yanavyoendeshwe nikaacha kuangalia maana nikaona ni kupoteza muda bure. Huu mswada wanaoujadili kama hoja za mbunge moja zinatupwa kwa ajili ya mambo ya kichama itakuwaje kwa mwananchi wa kawaida!? Maoni yetu yatasikilizwa kweli?
 
Alichopendekeza Lissu ni cha msingi sana, huyu mwanasheria mkuu wa serikali anaidhalilisha position yake na taaluma ya sheria
 
Hiyo hoja imepita au la!
Haijapita, ukiangalia bunge unaweza toa machozi kwa hasira. Kuna haja ya kupunguza wabunge wa CCM NEXT UCHAGUZI COz kiukweli hawako kutetea wananchi, wapo kichama zaidi. Kwa hali hii wa Tz tuna shida sana.
 
Waache waendelee na upumbavu wao huo wakidhani sie wananchi ni wajinga hukumu yao wataipata 2015. Bunge la sasa hivi kila nikiangalia hua simalizi nashikwa na hasira sana
 
Ni upumbavu haswa c utani. Tindu Lissu anajarb kuwasihi waangalie zaid wananchi wkt wanapitsha huu muswada cz ni kwa faida ya wananchi na co kwa faida ya CDM, WAPO KISHABIKI HAWAJUI HATA WANAFANYA NINI.
Waache waendelee na upumbavu wao huo wakidhani sie wananchi ni wajinga hukumu yao wataipata 2015. Bunge la sasa hivi kila nikiangalia hua simalizi nashikwa na hasira sana
 
Spika KILAZA amepewa nafasi tu na mafisadi hakuna kipya atafanya...huyu yupo tu na jazba na u ccm umemjaa..yeye mwenyewe hatambui lolote hakuna kipya hapo...wanatia kinya kwa kweli hawa ccm!!! baadae wanasema JF ndio inawaharibia
 
Uvyama unachochewa na spika. Itafika mahali wananchi tuandamane kumpinga spika. Makinda is good 4 nothing
Ni kweli spika anachangia kwa 100%, ila tutaendelea kukandamizwa hv mpaka lini? Kuna mda itabd kwel waTZ tufanye maandamano kumkataa huyu mama. Hatendi haki.
 
Yaani ni ujinga mtupu mtu anapiga kura ya kitu ambacho hakijui kuna walioenda kuitwa walikuwa nje ili wapige kura KWA KUWA WALIKUWA HAJUI KINACHOENDELEA na wamezoea kusema NDIYO kwa kila kitu wajikuta wakisema NDYO wakisikia miguno toka kwa wenzao wanazinduka na kusema SIO, kweli huu UCCM umetuharibia bunge,TUTAMKUBUKA SITTA
 
Nadhani ni zamu yetu sie waTanzania tumtoe huyu spika madarakani, na kama hatutafanya hivyo basi tukae kimya na tusilalamike kabisa.:yawn:.
 
Ni kichefuchefu tupu wabunge wa ccm wanapinga tu hoja za wapinzani bila kujali umuhimu wa hoja. Kwa mtaji huu itawachukua ccm karne na karne kujivua gamba.
 
Kweli hali hii nzuri. Sikuona wakati wa kuhesabu kura ilikuaje. Nafika kujiuliza swali hivi wanasheria waliobungeni(mf kina Sita) nao wanakubaliana na vilaza kama kina Kombani hata hapa kwenye hoja ya msingi?
 
Ila wanajamvi wa2 tumategemea nini kutoka kwa wa2 aina ya maji marefu, jah people na wengine tuliowachagua. We are now counting the cost na wana2maliza kwa kura zao.
 
Back
Top Bottom