Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,602 Reaction score 14,398 Dec 29, 2013 #1 Mwl: Methali isemayo Dunia hadaa ulimwengu ina maana kuwa Dunia na Ulimwengu ni tofauti "thibitisha" Mf: ni kweli kuwa Dunia na ulimwengu ni tofauti kwa kuwa Dunia ndio hii tunayoishi na ulimwengu ni mchezaji wa TP mazembe na taifa stars mwl: Mweeh!
Mwl: Methali isemayo Dunia hadaa ulimwengu ina maana kuwa Dunia na Ulimwengu ni tofauti "thibitisha" Mf: ni kweli kuwa Dunia na ulimwengu ni tofauti kwa kuwa Dunia ndio hii tunayoishi na ulimwengu ni mchezaji wa TP mazembe na taifa stars mwl: Mweeh!
John mungo JF-Expert Member Joined Dec 8, 2013 Posts 1,009 Reaction score 1,030 Dec 30, 2013 #2 Naomba chenchi.