ni habari za kuaminika kutoka chanzo cha karibu na kawambwa, chanzo hicho kimeendelea kudokeza kwamba, tangu atangaze matokeo ya kdt cha 4 siku chache zilizopita amekuwa akitumiwa ujumbe wa kumtukana na kutishiwa maisha na baadhi ya watu wasio julikana. 'nimekuwa nkitishiwa maisha, hii ni hatari kwangu na kwa familia yangu,hivyo haina budi ning'atuke kwa ajiri ya usalama wangu na familia yangu'kilisikika chanzo hicho kikimunikuu kawambwa.
Umepata ulichokijua ndo maana umejibu. Nadhani ni muhusika ndo unaghafirika. Vipi ningetangaza kuogombea ujumbe wa NEC... Ingekusaidia?????Mkuu,
JF ni platform ya Wananchi kupata na kutoa taarifa muhimu zinazohusu nchi yetu, Jamii na Ulimwengu kwa ujumla..naomba tuzingatie Hilo wakati tunaleta " TETESI KUTOKA KWENYE JUNGU KUU"
[h=2]NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA[/h][h=1]CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS[/h][h=3]S0497 TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL[/h][h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 0 FLD = 21 [/h]
Kwa matokeo hayo kwanini asiondoke? Ila kunawengine badala ya kusoma wanajifunza kareti na judo kwanini wa si FLD darasa zima. hahahahaah kazi kweli kweli.
Wewe ni mtu wa Tetesi tu na kudhani!? Huna hakika na lolote maishani. Kagombee hata Uraisi wa watanashati mimi hainihusu kitu. Halafu ukiamua kumquote mtu weka Content nzima ya taarifa au quote yenyewe.Umepata ulichokijua ndo maana umejibu. Nadhani ni muhusika ndo unaghafirika. Vipi ningetangaza kuogombea ujumbe wa NEC... Ingekusaidia?????
ni habari za kuaminika kutoka chanzo cha karibu na kawambwa, chanzo hicho kimeendelea kudokeza kwamba, tangu atangaze matokeo ya kdt cha 4 siku chache zilizopita amekuwa akitumiwa ujumbe wa kumtukana na kutishiwa maisha na baadhi ya watu wasio julikana. 'nimekuwa nkitishiwa maisha, hii ni hatari kwangu na kwa familia yangu,hivyo haina budi ning'atuke kwa ajiri ya usalama wangu na familia yangu'kilisikika chanzo hicho kikimunikuu kawambwa.
Mwaka huu jamaa huyu ndo Kawa-mbwa kabisa kuliko miaka mingine.
headmaster wa hii shule anafanya nini ofisini hadi saa hizi???
Tena shule ya private???
Kazi za quotation peleka kwa MODs. Ndo mnajaza uzi kwa kuchukuwa content yote. Ndo maana zina namba ili kufanya reference.Halafu ukiamua kumquote mtu weka Content nzima ya taarifa au quote yenyewe.