Tumsifu Yesu Kristo wapendwa..
Tuirarue mioyo yetu na sio mavazi yetu...
Kufunga kwetu kukawape faraja wale wasiokua nacho kwa kufanya matendo ya huruma...
Twendeni...magerezani,mahospitalini,vituo vya yatima,wazee n.k
Sisi wakatoliki tunafunga anasa au vitu tuvipendavyo na kuacha dhambi... badala yake kile kitu kitoe kwa wahitaji wengine...
Kristoo...