Kwaresma na Pasaka Special Thread

Toka kufufuka kwa BWANA WETU YESU KRISTO leo zimetimia siku 50

Kwa Tanzania siku kuu ya kupaa kwa BWANA tutaadhimisha jumapili

Japo kuwa dunian watu wameadhimisha leo
 
Kupaa kwa BWANA WETU YESU KRISTO kunatufundisha maisha ya kuishi dunian na safari yetu ya kuelekea mbingun

Leo tuko dunian hivyo maisha ya dunian ni safari ya uzima ya kuelekea kwa MUNGU BABA

Bas tudumu katika iman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…