Kwaresma: Mimi nimethubutu kumkataa shetani na mambo yake

Kwaresma: Mimi nimethubutu kumkataa shetani na mambo yake

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,723
Sitaki tena kuangalia mikwangala,nimeamua ku-delete kabisa.

attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • mkw1.jpg
    mkw1.jpg
    9.9 KB · Views: 855
  • mkw2.jpg
    mkw2.jpg
    10.2 KB · Views: 851
Umezibakisha kwenye recycle bin,kwaresma ikipita una restore
 
Shetani yuko kichwani sio kwenye picha za ngono hahahahaaa hongera, so kata na kichwa kabisa
 
leo day 3, mambo baado,halafu ikiisha Kwaresma unadownload zingine?
 
Kwamba hata papuchi ya wa kwako hutaiangalia tena, utakuwa unakula kigiza giza
 
Hizi imani bwana inamaana kuna makanisa yanafundisha waumini wasitende dhambi kipindi cha kwaresma tu na wakati mwingine ni ruksa? na hawa watakuwa ni RC tu, tumwogope mungu siku zote wapemdwa.
 
Unadanganyawa nini mkuu?


Haahhah kwakuwa sijaoa basi nayo sigusi.



Mkuu acha udini na jaribu kuheshimu imani za wengine. Ubarikiwe

Kwa hiyo na wewe unataka tutende dhambi isipokuwa siku za kwaresma tusitende dhambi.
 
Hizi imani bwana inamaana kuna makanisa yanafundisha waumini wasitende dhambi kipindi cha kwaresma tu na wakati mwingine ni ruksa? na hawa watakuwa ni RC tu, tumwogope mungu siku zote wapemdwa.

wala sio kweli..kila ibada ina maungamo kwanza..kila maombi yana maungamo vilevike..kwaresma ni siku muhimu san kwa wakristo ila sio kwel kwamba kipindi hiki tu ndo watu wasitende dhambi..
 
Back
Top Bottom