Kwann hatuoni aibu Kukopa ila tunaionea njaa aibu?

Seif al Islam

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
2,156
638
Hivi majuzi iliripotiwa kuwa wakuu wanatafuta trillion moja na ushee kujazia bajeti. Hilo lilitangazwa wazi. Pia ikatangazwa kuwa watakopa kwenye benki za ndani. Nalo lilitangazwa. Najiuliza kwann tunapata ukakasi kulizungumzia tatizo la njaa?? Kukopa ni alama ya UPUNGUFU WA FEDHA NA NJAA NI ALAMA YA UPUNGUFU WA CHAKULA, kwann njaa ionewe aibu?
 
Back
Top Bottom