Mdio shida ya kuruhusu raia wa kigeni kuingilia siasa za ndani. Huyu jamaa tumeshaambiwa ni Mkongo na Uhamiaji hawamshughulikii tuu kwa sababu amekuwa ni kifaa kinachotumika na watawala kwa malengo yao.
Lakini nimtahadharishe Zitto kuwa ni vyema zile hela alizopewa za pension ya Ubunge na zile zingine za zoofisha Chadema akazipeleka Kisangani au Goma kujenga nyumba ya kuishi huko kwao.
Watu wenye akili ndogo kama wewe ndio mnaoharibu radha ya Jukwaa la Siasa.
jamani kuna jambo moja lina nitatiza sana kuhusu zito Kabwe...hivi huyu jamaa kasimamia wapi? CCM au upinzani? maana naona juhudi zake zote ni kuhakikisha anaudhoofisha upinzani na sijui hasa lengo lake ninini... wakati wenzanke wanahangaika kuleta mabadiliko yeye yuko busy kuwakwamisha.. sasa najiuliza hivi huyu ni mtanzania kweli? nakumbuka kipindi yuko Chadema alitaka kufanya mapinduzi kwa kile alichokiita mfumo mbovu wa uongozi na alimuhusisha dr slaa kati ya viongozi wabovu.
sasa zito huyohuyo anawashambulia wanaomkosoa dr slaa kisa tu dr kanunuliwa na CCM basi kawa rafiki wa zito! jamani zito where is your stand? na kwa mfumo huu zito unapoteza credibility yako...hufai hata kuwa msimamizi wa mradi wa kuku kama huu ndo mfumo wako wa maisha
Watu wenye akili ndogo kama wewe ndio mnaoharibu radha ya Jukwaa la Siasa.
Uwe na aibu kidogo maana uso umeumbwa na haya. kwani sarakasi za Mbowe na akina Lissu huzioni? waliosema Lowasa ni fisadi ni akina nani? na leo wanaosema sio fisadi ni akina nani? sasa nani kapoteza credibility kati ya Zito anayesimamia ukweli na kile anachoamini au hawa viongozi wachache wa chadema?
Sio lazima usapoti upumbavu, LAZIMA uweke utaifa mbele kwanza mengine baadae!
Zitto anafadhiliwa na wanaccm..iweje iwaponde ilihali wanakula na kulala pamoja??