my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
lakin alikua vzuri katika kundi pia. 25mil ndogo song nzur snaAlimezwa sana na kundi mwanzoni
Sasa hv yuko solo
Tumpe muda
And by then nyimbo yake ina views 25mil
Hana lolote Zayn. OD ilimbeba
Mbona anafanya vizuri zaidi kwenye chart kuliko hata OD nadhani hata sales zake ziko juu. Pia 2016 alishinda award ambayo OD hawajawahi kushinda. Pia kuna tetesi kwamba baada ya OD kuona mafanikio makubwa ya mwenzao akiwa solo nao wamekuwa busy na solo projects kwa dhana kwamba nao watayapata mafanikio makubwa kama ya Zayn au zaidi.
Naupenda pillow talk japokuwa siku hizi simfeel sana hata wenzie.
kwakweli[emoji23]Si kila moja anamjua.. Ungetueleza kwanza ni nani huyo???
mimi huyo justin bieber sielewi hata wanachompendea, kama leemiho- korean movie star...
nawaonaga kama wasanii wengine ,tena ma under ground....
Mwenye kujua wanachopendewa anifahamishe, maana hata mvuto naonaga hawana pia.