Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,921
- 4,215
Tupate maoni kidogo , kupitia miaka mitano nyuma umewahi kusikia utekaji wowote zanzibari kama ilivyo Tanzania Bara?
Na log out
Na log out
Mashekhee wanapiga kurjuan tu,hawateki.Tupate maoni kidogo , kupitia miaka mitano nyuma umewahi kusikia utekaji wowote zanzibari kama ilivyo Tanzania Bara?
Na log out
Hahaha! Kwamba Mazombie, Nacheka utafikiri ni mazuri. Hakuna wanachama walioteseka kama CUF Zanzibar hasa Pemba!Zanzibar wamepitia magumu sana tangu kipindi cha mahita ngunguli ngangali ,waulize wapemba kimekuja kipindi cha dr shen uamusho watoto 2000 huwezi kujua tanganyika bado sana Zanzibar kulikuwa na kundi linaitwa mazombi walikuwa noma hao ndugu wameteseka sana acha wapumue kwanza
Wakati wa Magufuli ulisikia mtu ametekwa Chato?Tupate maoni kidogo , kupitia miaka mitano nyuma umewahi kusikia utekaji wowote zanzibari kama ilivyo Tanzania Bara?
Na log out
vijana wa CHADEMA hamuelewi kitu, Zanzibar ni muathirika zaidi wa matukio ya CCM kuliko Bara, walianza kupambana na FFU toka 90's, baada wakaja Janjaweed, baadae wakaja Zombie. hivi vikundi hata bara havijawahi kufika.
Zanzibar wamepitia magumu sana tangu kipindi cha mahita ngunguli ngangali ,waulize wapemba kimekuja kipindi cha dr shen uamusho watoto 2000 huwezi kujua tanganyika bado sana Zanzibar kulikuwa na kundi linaitwa mazombi walikuwa noma hao ndugu wameteseka sana acha wapumue kwanza
Hivi ndo nnavojua mimiSipendi kuandika lakini bora leo niandike kidogo.
Siungi mkono kinachoendelea Tanzania bara lakini ila ninachotaka kusema tu kwamba Tanzania bara bado sana kwa Zanzibar ktk siasa Za Upinzani. Watanganyika ni waoga sana ndio mana mpaka mnapewa majina ya kejeli kama keyboard Warriors. Wazanzibari wameteseka sana siasa kuliko nyinyi lakini kwa sababu miaka ya nyuma ilikua hamna Social networks huwezi kujua . Mwaka 2001 mji niliozaliwa wa Wete Pemba Waliuwawa zaidi ya Watu 40 ndani ya siku moja. Kuna jamaa alikua tuko nae mtaa mmoja siku kabla ya Maandamano alivaa Tshirt ikiwa imendikwa Freedom will come Tomorrow , siku ya maandamano akauwawa . 2005 watu maeneo ya Piki Wete Pemba walipigwa sana hadi watu wakakimbia nchi. Hadi leo kuna wa Pemba wengi tu wamekimbilia Shimoni Kenya kama wakimbizi wa kisiasa .