Tangu kumeibuka wimbi la wachekeshaji kibiashara nchini sijawahi kusikia comedian Mzanzibar aliye maarufu. Huko Zanzibar wao hawafanyi comedy au wapo ila hawajawa maarufu tu?!

Wao ni katika waasisi wa comedy Nchi hii wakati King Majuto anaanza Comedy Tanga alikua na mwenzake Anaitwa kwa jina la kisanii "Mangush" kutokea huko visiwani.
Sasa hivi wana comedy wao wengi kule, issue ni kwamba kule kuna lipa kuliko huku, why mtu atoke kule aje kufanya biashara huku? Wana target watalii kule
Zenji wana mastaa wao tena ni wabinafsi , hawa comedians wetu huku hwawatambui hata wasanii hawana shobo nao ..Ukifika kule hata huyo Diamond sio rahisi watu kumshobokea ..
mbona kama fala fulani hivi, nani kakuambia chekeshaji ni upuuzi? Ile ni kazi inayoingiza kipato kikubwa, umewahi kuwaona family matters, martin, mr. Been?