Kwanini yanga haifungwi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,801
Reaction score
60,645
Kwenye mpira kuna matokeo matatu kushinda kushindwa na kutoa sare.cha ajabu yangs sikumbuki mara ya mwisho imefungwa lini tokea mwaka huu uanze nahisi kama imefungwa mara mbili tu au tatu..mwenye kujua yanga imefungwa mara ngapi aniambie maana nataka nimuotee mechi zijazo nimuue niweke stake kubwa sana mechi moja tu
 
Akiwa anacheza na wakubwa wenzake kama wakina Al ahly, mamelond wewe uaaaaa🤣😂
 
Aisee ndege JOHN kwanza kabisa unakunywa beer gani?Uko Lindi au umerudi Dar?
Umeongea ukweli usiopingika. YANGA IKO JUU HADI NAOGOPA.
Inabidi tuwaalike wapinzani wetu wa kweli Arsenal ya uingereza tuwaonyeshe watanzania mpira unavyochezwa.
Kwa Sasa Tanzania hatuna mpinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…