Hicho chama cha CCM Kenya kipo toka zamani labda kama hujui siasa za kenya. Na muasisi wa chama hicho ni Isack Ruto.
Kusema CCM Kenya imeanzishwa juzi sio sawa.
Wanataka kujiunga na UDA chama ambacho kimeasisiwa na William Ruto kwenye uchaguzi mkuu 2022